ONE NTEMI BENDI:-Wakiwa jukwaani wakizikonga nyoyo za wapenzi wa burudani wa muziki wa Dansi
Na Hastin Liumba,Tabora
Ijumaa,Jumamosi na jumapili na siku ambazo kutakuwa na hafla
mbalimbali za serikali na NGOs.
Mkurugenzi huyo anawataja wanamuziki wanaounda bendi hiyo kuwa ni
Fikirini Idd Ngosha, aliyewahi kupigia DDC Mlimani Park,ambaye anapiga
(Rryethim),Yusuph Athuman anayepiga (kinanda na mwimbaji).
Anawataja wengine kuwa ni Zaituni Athuman (mwimbaji),Shaban Muki
(mwimbaji),Kauga Tuma (tumba na Ngoma),Jaruf Boaz (Rryethim),na Aman
Elisha (Solo).
Wengine ni Rashid Alli,(mwimbaji),Suzani Sukili, ambaye anaimba
(nyimbo za Kiswahili,Kihindi,kiingereza na lugha za asili ya makabla
ya kitanzania),na Mbarouk Abdulah, (mwimbaji).
Polley anazungumzia hali ya uendeshaji wa bendi yake ambapo anasema
wanamuziki wote wamekuwa wakilipwa mishahara kila mwisho wa mwezi,
zikiwemo stahiki zote anazopaswa kupatiwa mtumishi.
Aidha anaongeza kuwa wanamuziki wake bila ya kujali wapenzi wa muziki
waliingia kwa kiasi gani, pale wanapotumbuiza ama hawakuingia,lakini
wamekuwa wakilipwa mishahara kama kawaida.
Aidha anasema wanamuziki wa bendi yake wamekuwa wakipatiwa usafiri
kila siku wapo kazini na siku za mazoezi kwa kurejeshwa sehemu
anazoishi kwa basi lao maalumu.
Mkurugenzi huyo anasema analazimika kujitoa na kuwajibika zaidi pale
mwanamuziki wake anapopata tatizo la kifamilia na amekuwa akitumia
fedha zake za mfukoni bila kujali ana mshahara ama la.
Anasema tabia yake ya kutumia fedha yake ya mfukoni,kusaidia wanamuzki
ni katika kuonyesha wanamuziki wanapaswa kuhudumiwa kiasi gani ili
kuwajengea morari na uwezo kwa maisha yao ya baadaye.
Alisema wanamuziki wa bendi yake wana sare za kazi aina kumi, ambazo
nyingi zaidi ni mavavi yanayolenga uafrika na hasa wa mavazi ya
kitanzania sanjari na viatu vya kiafrika na kisasa, ambavyo vimekuwa
vikinunuliwa na kampuni yake.
Akizitaja nyimbo sita ambazo bendi yake ilishatunga na kurekodi albamu
moja, kipindi cha kuanzishwa kwake ni pamoja na
Maganga,Debora,Chuki,Christmas,Uyafahamu na Alikuwa wangu.
Aidha mkurugenzi huyo anasema bendi yake imekuwa ikifanya mazoezi kila
siku na Jumanne,Jumatano,Alhamis na Ijumaa,ili kuweza kutengeneza
uwezo wa kutoa burudani tosha kwa wapenzi wa buruani ya muziki wa
dansi nchini, na hadi sasa wameanza kutengeneza albamu mpya ambayo
ina nyingi tatu zilizokamilika na bado albamu hiyi haijapatiwa jina.
”Nahimiza sana bendi yangu kujaribu kutumbuiza nyimbo za kiafrika ili
kuendana na mila na desturi za kitanzania na kamwe hatutaweza
kukengeuka uasili wetu.” Alisema Polley.
Anaongeza licha ya kutoa kipaumbele kwa nyimbo za kitanzania bado bado
amekuwa akihimiza nyimbo za kiingereza na kihindi hasa kutokana na
wateja kadhaa kuwa ni wageni hotelini hapo ambao ni washabiki wa lugha
ya kihindi na kizungu na kiasia.
Anasema nyimbo za kiingereza nazo hupigwa na zaidi nyimbo za kihindi
nazo hupigwa kwa ustadi mkubwa hasa zile nyimbo za kihindi
zinazotumiwa na wasanii wa filamu za kihindi za zamani na sasa ambazo
zilikuwa zikichezwa katika filamu.
Hata hivyo anasikitishwa sana na jinsi wanamuziki wengi nchini jinsi
wanavyoishi maisha magumu, wakati kazi wanayofanya ni ngumu na amekuwa
anajitahidi kuwa mfano kazi za kuhudumia wanamuziki wa dansi.
Anaziomba mamlaka husika kujaribu kuwatengenezea haki zinazostahili
ili wanamuzki wetu nchini waishi maisha yanayolingana na kazi zao.
”Jaribu kuangalia wanamuziki wa mataifa mengine wanavyoishi.....wana
magari ya kifahari,wana nyumba nzuri za kuishi, lakini hawa kwetu
pengine unaweza kukuta hawana hata baiskeli hii inaniumiza sana
tunapaswa kujingeza tufkie lengo.” Alisema Polley.
Alisema endapo mamlaka husika.wanamuziki na wamiliki tukisimama kidete
ni dhahiri mambo mazuri yatakuja dhidi ya wanamuziki na bendi zetu,
nao siku moja wataishi maisha mazuri na kutoa mchango mkubwa kwa nchi
yao ikiwemo kukuza pato la kaya na taifa kwa ujumla.
Akizungumzia changamoto zinazokwaza japo si kwa kiwango kikubwa na
bendi yake si nyingi na kiwango kikubwa wanamuziki
wanawezeshwa vyema,lakini matatizo kadhaa katika bendi yake hakuna
kwani haki zote zinazokosekana kama watumishi wengine nchini.
”Bendi yangu ina vifaa vya kisasa na hakuna upungufu wowote kwa upande
wa wanamuziki na vifaa kwa ujumla tunajitahidi kuboresha bendi kila
siku kwa kuandaa mazingira ya kisasa zaidi.” Anaongeza.
Anaeleza malengo yake ni kuona wanamuziki wa bendi yake wanaishi
maisha mazuri kulingana na kazi wanazofanya,sanjari na wawe na nyumba
za kumiliki wao wenyewe na kukuza pato lao.
Aidha anaandaa mazingira bora ya utunzi kwa kushirikiana na wanamuziki
wa bendi yake, ili kazi ya kupeleka ujumbe kwa wananchi kwa njia
muziki wa asili ya kitanzania pekee a nyongeza ya kiburudani kwa
nyimbo chache za kigeni kulingana na mahitaji ya wapenzi wa burudani
ya muziki wa dansi.
.
ORION TABORA HOTEL. |
ONE NTEMI BENDI JUKWAANI. |
POLLEY AHMED :-Mkurugenzi wa Orion Tabora Hotel na mmiliki wa ONE NTEMI BENDI |
Baadhi ya bustani ya miti iliyooteshwa sehemu ya mbele ya Orion Tabora hotel! |
Ni ng`ombe mwenye kilo 789 ambaye amekuwa kivutio sana kwa wageni wanaokuja kucheza muziki wa dansi wa bendi wa dansi wa One Ntemi bandi. |
Na Hastin Liumba,Tabora
ONE Ntemi Bendi,(Proudly
Tanzanian), ni bendi ya muziki wa dansi
iliyoanzishwa mwaka 2005,mkoani Tabora,na imekuwa ikitoa burudani
katika hotel iitwayo Orion Tabora Hotel pekee.
Bendi hii hadi sasa ina takribani miaka sita, na ushehe hivi na wapo
wanamuziki wengi wazoefu,vijana machachari wakongwe waliopata kupigia
bendi hii katika nyakati tofauti na wengine bado na wanaendelea
kukipiga na kutoa burudani tosha katika Bendi hiyo.
Mkurugenzi wa Orion Tabora Hotel na mmiliki wa bendi, hiyo Polley
Ahmed,anafanya mazungumzo na mwandishi wa makala hii, kuelezea namna
bendi hiyo inavyotoa burudani,mafanikio,changamoto na malengo yake
bendi hiyo siku zijazo.
Polley anaeleza kuwa bendi hiyo iliyoanzishwa mwaka 2005, imeshatoa
albamu moja ambayo ilikuwa na nyimbo sita ambazo zimekuwa zikipigwa
kwenye stesheni za radio kadhaa, hapa nchini.
Alisema bendi yake hadi sasa ina jumla ya wanamuziki 10 ambao wamekuwa
wakitoa burudani Orion Tabora Hotel pekee kwa kupiga nyimbo za lugha
nne tofauti.
Polley anaeleza kuwa bendi yake imekuwa ikitumbuiza katika lugha za
Kiswahili,lugha makabila ya kitanzania,kiingereza na Kihindi.
Alisema kuwa bendi yake imekuwa ikitumbuiza Hotelini hapo kila siku
yailiyoanzishwa mwaka 2005,mkoani Tabora,na imekuwa ikitoa burudani
katika hotel iitwayo Orion Tabora Hotel pekee.
Bendi hii hadi sasa ina takribani miaka sita, na ushehe hivi na wapo
wanamuziki wengi wazoefu,vijana machachari wakongwe waliopata kupigia
bendi hii katika nyakati tofauti na wengine bado na wanaendelea
kukipiga na kutoa burudani tosha katika Bendi hiyo.
Mkurugenzi wa Orion Tabora Hotel na mmiliki wa bendi, hiyo Polley
Ahmed,anafanya mazungumzo na mwandishi wa makala hii, kuelezea namna
bendi hiyo inavyotoa burudani,mafanikio,changamoto na malengo yake
bendi hiyo siku zijazo.
Polley anaeleza kuwa bendi hiyo iliyoanzishwa mwaka 2005, imeshatoa
albamu moja ambayo ilikuwa na nyimbo sita ambazo zimekuwa zikipigwa
kwenye stesheni za radio kadhaa, hapa nchini.
Alisema bendi yake hadi sasa ina jumla ya wanamuziki 10 ambao wamekuwa
wakitoa burudani Orion Tabora Hotel pekee kwa kupiga nyimbo za lugha
nne tofauti.
Polley anaeleza kuwa bendi yake imekuwa ikitumbuiza katika lugha za
Kiswahili,lugha makabila ya kitanzania,kiingereza na Kihindi.
Ijumaa,Jumamosi na jumapili na siku ambazo kutakuwa na hafla
mbalimbali za serikali na NGOs.
Mkurugenzi huyo anawataja wanamuziki wanaounda bendi hiyo kuwa ni
Fikirini Idd Ngosha, aliyewahi kupigia DDC Mlimani Park,ambaye anapiga
(Rryethim),Yusuph Athuman anayepiga (kinanda na mwimbaji).
Anawataja wengine kuwa ni Zaituni Athuman (mwimbaji),Shaban Muki
(mwimbaji),Kauga Tuma (tumba na Ngoma),Jaruf Boaz (Rryethim),na Aman
Elisha (Solo).
Wengine ni Rashid Alli,(mwimbaji),Suzani Sukili, ambaye anaimba
(nyimbo za Kiswahili,Kihindi,kiingereza na lugha za asili ya makabla
ya kitanzania),na Mbarouk Abdulah, (mwimbaji).
Polley anazungumzia hali ya uendeshaji wa bendi yake ambapo anasema
wanamuziki wote wamekuwa wakilipwa mishahara kila mwisho wa mwezi,
zikiwemo stahiki zote anazopaswa kupatiwa mtumishi.
Aidha anaongeza kuwa wanamuziki wake bila ya kujali wapenzi wa muziki
waliingia kwa kiasi gani, pale wanapotumbuiza ama hawakuingia,lakini
wamekuwa wakilipwa mishahara kama kawaida.
Aidha anasema wanamuziki wa bendi yake wamekuwa wakipatiwa usafiri
kila siku wapo kazini na siku za mazoezi kwa kurejeshwa sehemu
anazoishi kwa basi lao maalumu.
Mkurugenzi huyo anasema analazimika kujitoa na kuwajibika zaidi pale
mwanamuziki wake anapopata tatizo la kifamilia na amekuwa akitumia
fedha zake za mfukoni bila kujali ana mshahara ama la.
Anasema tabia yake ya kutumia fedha yake ya mfukoni,kusaidia wanamuzki
ni katika kuonyesha wanamuziki wanapaswa kuhudumiwa kiasi gani ili
kuwajengea morari na uwezo kwa maisha yao ya baadaye.
Alisema wanamuziki wa bendi yake wana sare za kazi aina kumi, ambazo
nyingi zaidi ni mavavi yanayolenga uafrika na hasa wa mavazi ya
kitanzania sanjari na viatu vya kiafrika na kisasa, ambavyo vimekuwa
vikinunuliwa na kampuni yake.
Akizitaja nyimbo sita ambazo bendi yake ilishatunga na kurekodi albamu
moja, kipindi cha kuanzishwa kwake ni pamoja na
Maganga,Debora,Chuki,Christmas,Uyafahamu na Alikuwa wangu.
Aidha mkurugenzi huyo anasema bendi yake imekuwa ikifanya mazoezi kila
siku na Jumanne,Jumatano,Alhamis na Ijumaa,ili kuweza kutengeneza
uwezo wa kutoa burudani tosha kwa wapenzi wa buruani ya muziki wa
dansi nchini, na hadi sasa wameanza kutengeneza albamu mpya ambayo
ina nyingi tatu zilizokamilika na bado albamu hiyi haijapatiwa jina.
”Nahimiza sana bendi yangu kujaribu kutumbuiza nyimbo za kiafrika ili
kuendana na mila na desturi za kitanzania na kamwe hatutaweza
kukengeuka uasili wetu.” Alisema Polley.
Anaongeza licha ya kutoa kipaumbele kwa nyimbo za kitanzania bado bado
amekuwa akihimiza nyimbo za kiingereza na kihindi hasa kutokana na
wateja kadhaa kuwa ni wageni hotelini hapo ambao ni washabiki wa lugha
ya kihindi na kizungu na kiasia.
Anasema nyimbo za kiingereza nazo hupigwa na zaidi nyimbo za kihindi
nazo hupigwa kwa ustadi mkubwa hasa zile nyimbo za kihindi
zinazotumiwa na wasanii wa filamu za kihindi za zamani na sasa ambazo
zilikuwa zikichezwa katika filamu.
Hata hivyo anasikitishwa sana na jinsi wanamuziki wengi nchini jinsi
wanavyoishi maisha magumu, wakati kazi wanayofanya ni ngumu na amekuwa
anajitahidi kuwa mfano kazi za kuhudumia wanamuziki wa dansi.
Anaziomba mamlaka husika kujaribu kuwatengenezea haki zinazostahili
ili wanamuzki wetu nchini waishi maisha yanayolingana na kazi zao.
”Jaribu kuangalia wanamuziki wa mataifa mengine wanavyoishi.....wana
magari ya kifahari,wana nyumba nzuri za kuishi, lakini hawa kwetu
pengine unaweza kukuta hawana hata baiskeli hii inaniumiza sana
tunapaswa kujingeza tufkie lengo.” Alisema Polley.
Alisema endapo mamlaka husika.wanamuziki na wamiliki tukisimama kidete
ni dhahiri mambo mazuri yatakuja dhidi ya wanamuziki na bendi zetu,
nao siku moja wataishi maisha mazuri na kutoa mchango mkubwa kwa nchi
yao ikiwemo kukuza pato la kaya na taifa kwa ujumla.
Akizungumzia changamoto zinazokwaza japo si kwa kiwango kikubwa na
bendi yake si nyingi na kiwango kikubwa wanamuziki
wanawezeshwa vyema,lakini matatizo kadhaa katika bendi yake hakuna
kwani haki zote zinazokosekana kama watumishi wengine nchini.
”Bendi yangu ina vifaa vya kisasa na hakuna upungufu wowote kwa upande
wa wanamuziki na vifaa kwa ujumla tunajitahidi kuboresha bendi kila
siku kwa kuandaa mazingira ya kisasa zaidi.” Anaongeza.
Anaeleza malengo yake ni kuona wanamuziki wa bendi yake wanaishi
maisha mazuri kulingana na kazi wanazofanya,sanjari na wawe na nyumba
za kumiliki wao wenyewe na kukuza pato lao.
Aidha anaandaa mazingira bora ya utunzi kwa kushirikiana na wanamuziki
wa bendi yake, ili kazi ya kupeleka ujumbe kwa wananchi kwa njia
muziki wa asili ya kitanzania pekee a nyongeza ya kiburudani kwa
nyimbo chache za kigeni kulingana na mahitaji ya wapenzi wa burudani
ya muziki wa dansi.
.
No comments:
Post a Comment