Pages

KAPIPI TV

Tuesday, May 1, 2012

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA HAYA HAPA


Katibu mtendaji Dkt. Joyce Ndalichako leo ametangaza matokeo ya form six,
Shule iliyoongoza ni MARIAN GIRLS ya Bagamoyo.

Pia amepunguza adhabu ya miaka 3 na kuwa mwaka 1,  iliyokuwa imetolewa kwa watahiniwa waliobainika kufanya udangayifu wa matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2011.

No comments: