Pages

KAPIPI TV

Wednesday, May 9, 2012

BASI LA MURO LATEKETEA KWA MOTO

Basi la  Kampuni ya  Muro Investment, T820BEY lililokuwa likitokea Mwanza kwenda jijini Dar es Salaam, limewaka moto na kuteketea  kabisa maeneo ya Maseyu Mkoani Morogoro. Ajali hiyo iliyotokea majira ya saa 1:15 usiku Mei 8,2012, haikusababisha madhara kwa abiria isipokuwa mali zao zote ziliteketea kwa moto huo.
http://www.mrokim.blogspot.com/

No comments: