ANAOMBA MSAADA WA MATIBABU"Ama kweli hujafa hujaumbika wasiliana naye kwa 0752 422173"
Mzee Kishiwa Luchagula (60)mkazi wa Tazengwa wilayani Nzega anawaomba wasamalia wema kumsaidia fedha za matibabu ambayo anatarajiwa kufanyiwa Muhimbili jijini Dar-es-salaam...Wasiliana naye kwa namba 0752 422173.
No comments:
Post a Comment