Mjasiliamali akiandaa chumvi yake baada ya kumaliza shughuli ya kuchimba na kuipika eneo la Chinangali wilayani Manyoni,hata hivyo chumvi hiyo inachimbwa katika eneo linalodaiwa huenda likachukuliwa na mwekezaji kwa ajili ya uchimbaji wa madini ya Uranium ambayo ni hatari kwa maisha ya viumbe hai.
Mwanasheria wakili Flaviana Charles kutoka kituo cha sheria na haki za binadam LHRC akizungumza na mmoja wa wakazi wa Namtumbo kuhusu ushirikishwaji wa wananchi katika uchimbaji wa madini ya Uranium ambayo yanaendelea kufanyiwa utafiti na kuchimbwa katika mbuga ya hifadhi ya Selou wilayani Namtumbo.
No comments:
Post a Comment