Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati alipowasili
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwa mgeni rasmi katika
Mashindano ya 19 ya Kuhifadhi Qur- aan Tukufu Afrika yaliyoandaliwa
na Taasisi ya Al – Hikima, Mei 27, 2018. Katikati ni Waziri wa Mambo ya
Dini wa Saud Arabia, Dkt. Saleh Alashiek.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati alipowasili
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwa mgeni rasmi katika
Mashindano ya 19 ya Kuhifadhi Qur- aan Tukufu Afrika yaliyoandaliwa
na Taasisi ya Al – Hikima, Mei 27, 2018.
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh
Abubakary Zubeir akizungumza katika Mashindano ya 19 ya Kuhifadhi
Qur-aan Tukufu Afrika yaliyoandaliwa na Taasisi ya Al-Hikima kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Mei 27, 2018.
Baadhi ya waalikwa waliohudhuria
katika Mashindano ya 19 ya Kuhifadhi Qur-aan Tukufu Afrika
yaliyoandaliwa na Taasisi ya Al-Hikima wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakati alipohutubia kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es
salaam, Mei 27, 2018.
Waziri wa Mambo ya Dini wa Saudi
Arabia, Dr. Saleh Alashiek akizungumza katika Mashindano ya 19 ya
Kuhifadhi Qur-aan Tukufu Afrika yaliyoandaliwa na Taasisi ya Al-Hikima
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Mei 27, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akihutubia katika Mashindano ya 19 ya Kuhifadhi Qur-aan Tukufu
Afrika yaliyoandaliwa na Taasisi ya Al-Hikima kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es salaam, Mei 27, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akimkabidhi Shujaa Suleiman Shujaa zawadi
ya shilling milioni 15 baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa kwanza wa
Mashindano ya Kuhifadhi Qur-aan Tukufu Afrika yaliyoandaliwa na Taasisi
ya Al-Hikima kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Mei 17, 2018.
Kulia ni Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir na watatu kulia
ni Rais wa Taasisi ya Al- Hikima, Sheikh Shariff Abdukadir.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment