Pages

KAPIPI TV

Monday, August 10, 2015

"WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUMSINDIKIZA LOWASSA KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS"

Umati mkubwa wa wananchi wakiwemo wafuasi wa vyama vya siasa nchini vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa)ambapo wamejitokeza kwa wingi kumsindikiza Mgombea kiti cha urais kwa tiketi ya Chadema Bw.Edward Lowassa kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Umati huu mkubwa wa Wananchi ambao ulijitokeza kushiriki maandamano ya kumsindikiza Bw.Lowassa kuchukua fomu ya kuwania Urais,katika msafara huo ambao upita mitaa kadhaa ulisababisha pia kusimama kwa muda shughuli mbalimbali za kijamii.


No comments: