Pages

KAPIPI TV

Sunday, August 9, 2015

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Kampuniya NOFO ya jijini Dar es Salaam, inayojihusishanauchapishajinauuzajiwavitabuvyahadithizawatoto,inatangazanafasikumizakaziyaafisamasoko. Wenye sifa zifuatazo watume maombi kupitia baruapepe ndejarini@gmail.com kwenda kwa GENERAL MANAGER, NOFO, DSM

(1)    Shahadaya kwanza au stashahadayajuuyabiasharakatikamasoko
(2)    Uelewamzurinauelediwakuimarishanakupanuawigowamasoko
(3)    Ari namoyowakufikiamalengouliyowekewa
(4)    Uwezowakujielezavizurimbeleyawatuwengi

Mwisho wa kupokelewa kwa maombi ni Alhamisi saa nane mchana tarehe 13 Agosti 2015. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0767-195912/0713195912.

No comments: