
Mgombea
wa nafasi ya Urais Kupitia CHADEMA, Edward Lowassa akikabidhiwa fomu za
Urais na Ofisa wa tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, hii leo alipofika
kwenye Ofisi hizo Jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya
Umati wa wafuasi wa Chadema uliofika kwenye Ofisi za Tume ya Uchaguzi
ili Kumsindikiza Mgombea wa Nafasi ya Urais kupitia CHADEMA,Edward
Lowassa hii leo.(VICTOR)

Mbunge wa
Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu nae alikuwepo kumsindikiza
Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais kupitia CHADEMA.




No comments:
Post a Comment