ALIYEKUWA MBUNGE WA SIKONGE MH.SAID NKUMBA AHAMIA CHADEMA
Mbunge wa Jimbo la Sikonge Mh.Said Nkumba aliyemaliza muda wake akichukua kadi baada ya kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo katika Ofisi za Chama hicho Kanda ya Magharibi Tabora mjini ambapo mbunge huyo ameamua kuondoka CCM.
No comments:
Post a Comment