Afisa
Mwandamizi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),
Salvatory Hinju akitoa maelezo namna Shirika la Nyumba linavyofanya
kazi zake kwa Wateja waliofika kwenye banda la maonyesho la Shirika hilo
lililopo ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere)
katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa.
Kaimu
Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa Tuntufye
Mwambusi akizungumza na mmoja wa wateja wa Shirika la Nyumba alipofika
kwenye banda la maonyesho la Shirika hilo lililopo ndani ya viwanja vya
Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya
biashara ya kimataifa.
Mteja
akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa,
Aika Swai, anayewasikiliza ni Afisa Mauzo Mwandamizi wa NHC, Julieth
Buberwa.
Afisa
Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Aika Swai akitoa maelekezo kwa
wateja kuhusiana na ujenzi na mauzo ya nyumba za Shirika la Nyumba la
Taifa kwenye Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 yanayoendelea
kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba.
Afisa
Masoko Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Chediel Msuya akitoa
maelekezo kwa wateja kuhusiana na ujenzi na mauzo ya nyumba za gharama
nafuu za Shirika la Nyumba la Taifa kwenye Maonyesho ya Biashara ya
Kimataifa ya 39 yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere
Sabasaba.
Afisa
Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Vincent Ngaile akitoa maelekezo
kwa mteja kuhusiana na ujenzi na mauzo ya nyumba za gharama nafuu za
Shirika la Nyumba la Taifa kwenye Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya
39 yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba.
Waziri
Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda akiingia kwenye viwanja vya Maonyesho
ya Biashara ya Kimataifa ya 39 yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu
Nyerere Sabasaba.
Waziri
Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda akiingia kwenye viwanja vya Maonyesho
ya Biashara ya Kimataifa ya 39 yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu
Nyerere Sabasaba.
Ujumbe
kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara ya Afrika Kusini, ukimsikiliza
Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Vincent Ngaile aliyekuwa
akizungumza nao kuhusu shughuli mbalimbali za Shirika. Wanaomsikiliza ni
Mkurugenzi wa Mkuu wa Ukuzaji Biashara na Masoko wa Idara ya Masoko na
Mauzo ya Wizara hiyo, Zanele Sani.
Meneja
Miradi Msaidizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hassan Mohammed akitoa
maelekezo kwa mteja kuhusiana na namna matofali ya Hydraform
yanavyotumika kujenga nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa kwenye
Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 yanayoendelea kwenye viwanja
vya Mwalimu Nyerere Sabasaba.
Banda
la Maonyesho la Shirka la Nyumba la Taifa (NHC) lililopo langoni kuu la
kuingilia kushoto kama unaingia Viwanja vya Mwalimu Nyerere kwenye Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 yanayoendelea.
Ujumbe
kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara ya Afrika Kusini, uukizungumza na
maafisa wa Shirika la Nyumba la Taifa kuhusu shughuli mbalimbali za
Shirika. Wanaomsikiliza ni Mkurugenzi wa Mkuu wa Ukuzaji Biashara na
Masoko wa Idara ya Masoko na Mauzo ya Wizara hiyo (mwenye miwani), Zanele Sani.
Mkuu
wa Ukuzaji Biashara na Masoko wa Idara ya Masoko na Mauzo ya Wizara
hiyo, Zanele Sani (mwenye miwani) na Ujumbe kutoka Wizara ya Viwanda na
Biashara ya Afrika Kusini, wakizungumza na maafisa wa Shirika la Nyumba
la Taifa kuhusu shughuli mbalimbali za Shirika.
Afisa
Kituo cha Huduma kwa Wateja cha NHC, Theresia Muhondo akitoa maelekezo
kwa wateja kuhusiana na ujenzi na mauzo ya nyumba za Shirika la Nyumba
la Taifa kwenye Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 yanayoendelea
kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba.
No comments:
Post a Comment