Pages

KAPIPI TV

Friday, July 31, 2015

ALEX MSAMA:MAANDALIZI YA UZINDUZI WA ALBAM YA BONNY MWAITEJE YAMEKAMILIKA

????????????????????????????????????
Mkurugenzi wa Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu Uzinduzi wa albam ya muimbaji wa nyimbo za injili Bonny Mwaiteje utakaofanyika jumapili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, uzinduzi huo utashirikisha mwimbaji wa nyimbo za kutoka Zambia Ephraim Sekereti Faustine Munishi pia atashiriki kwenye uzinduzi huo na waimbaji wengine wengi kutoka hapa nchini
Fedha zitakazopatikana katika uzinduzi huo zitanunua baiskeli kwa ajili ya kuwapatia walemavu katika mikoa ya Ruvuma na Morogoro ambayo haikupata katika mgao wa kwanza na pia zitanunua Chakula kwa ajili ya vituo vya watoto yatima.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
????????????????????????????????????
Mkurugenzi wa Msama Promotion Bw. Alex Msama akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari jijini Dar es salaam.
???????????????????????????????????? ???????????????????????????????????? ????????????????????????????????????

No comments: