Pages

KAPIPI TV

Saturday, December 27, 2014

UMOJA WA MAKANISA CCT WAPINGA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO ENDAPO HAITASHUGHULIKIA KWA MAKINI SUALA LA KASHFA YA ESCROW

Askofu wa Kanisa la Anglikana mkoa  wa Tabora,Mhashamu Elias Chakupewa akitoa tamko kwa niaba ya Umoja wa Makanisa ya Kikristo Tanzania CCT  tawi la Tabora  kuhusu kutokubali kushirikiana na Serikali katika shughuli mbalimbali za Maendeleo hadi hapo Serikali itakapo lishughulikia kwa makini suala la kashfa ya akaunti ya Tageta Esrow ambayo inahusisha  baadhi ya vigogo serikalini.
Baadhi ya viongozi wa CCT mkoani Tabora wakiwa katika Ibada ya kuadhimisha Sikukuu ya Krismas iliyofanyika kwenye viwanja vya Uyui Sekondari mjini Tabora

Katibu wa Umoja wa CCT mkoa wa Tabora Mchungaji Elias Mbagata akizungumza jambo katika ibada hiyo ya maadhimisho ya sikukuu ya krismas iliyofanyika viwanja vya Uyui Sekondari Tabora mjini.
Mmoja kati viongozi wawakilishi kutoka kanisa la Jimbo  kuu la  Roman Catholic Tabora





No comments: