Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Dr.
Harrison Mwakyembe (kulia kwake) na Naibu Waziri wake, Dr. Charles
Tizeba (kulia) kukagua baadhi ya mabehewa mapya ya Shirika la Reli
nchini (TRL) yaliyonunuliwa na kwa fedha za serikali wakati alipokwenda
kwenye bandari ya Dar es salaam Desemba 8,2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe
wakikagyua moja ya mabehewa mapya ya TRL yaliyonunuliwa kwa fedha ya
serikali wakati alipokwenda kwenye Bandari ya Dar es salaam Desemba 8,
2014 kupokea mabehewa hayo.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison
Mwakyembe (kulia kwake) na Naibu Waziri wake, Dr. Charles Tizeba
(kulia) kukagua baadhi ya mabehewa mapya ya Shirika la Reli nchini
(TRL) yaliyonunuliwa na kwa fedha za serikali wakati alipokwenda kwenye
bandari ya Dar es salaam Desemba 8,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment