Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda akiwaonesha kisu waandishi wa habari mkoani humo kilichotumiwa na Mzee Mashaka Maziku aliyemkata mkewe sehemu za siri kwa lengo la kutaka kuziuza kwa gharama ya shilingi milioni tano kama alivyoahidiwa na mganga wa tiba asili manispaa ya Tabora. |
No comments:
Post a Comment