Baadhi ya wasaidizi wa kisheria wa asasi ya Tabora Paralegal wakiwa katika picha ya pamoja na kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Juma Bwire wakati wa mafunzo ya usaidizi wa kisheria yaliyofanyika katika ukumbi wa Moravian Tabora mjini,ambapo jeshi la polisi lilikubali kushirikiana na wasaidizi hao wa kisheria katika kukabiliana na matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu.
No comments:
Post a Comment