Meneja
wa Benki ya CRDB Tawi la Azikiwe, Fabiola Massula (kushoto) akizungumza
wakati wa mashindano ya vipaji vya wanawake (WOMEN TALENT SYSTEM)
ilifanyika Septemba 25,2014 katika Hotel ya JB BELMONT jijini Dar es
Salaam.Kulia ni Mshereheshaji wa shoo hiyo. Benki hiyo ni mmoja wa
wadhamini wa shoo hiyo.Mkurugenzi
wa Women Talent System, Angels Howell (katikati) akizungumza jambo
kuhusiana shoo hiyo (kulia kwake), Meneja kutoka Mmi Tanzania, Paolo
Frattari.Rais
wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa Martina
Maurizio (kushoto), akipiga makofi kushiria kufulaishwa na jambo wakati
wa mashindano ya vipaji vya wanawake (WOMEN TALENT SYSTEM) ilifanyika
Septemba 25,2014 katika Hotel ya JB BELMONT jijini Dar es Salaam.Wageni waalikwa pamoja na wasanii wakifuatilia shoo hiyo.Wacheza shoo walioandaliwa kutoa burudani wakionesha uwezo wao.Rais
wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa Martina
Maurizio akionesha uwezo wake wakuvunja vibao kwakutumia mkono.Profesa Martina Maurizio akionesha uwezo kwa jiwe lilokuwa limewekwa kifuani kwake na kunjwa kwakutumia nyundo.Profesa Martina Maurizio akionesha uwezo kwa jiwe lilokuwa limewekwa kifuani kwake na kunjwa kwakutumia nyundo.
No comments:
Post a Comment