Pages

KAPIPI TV

Saturday, September 13, 2014

ANUWAR KASHAGA AZIDI KUIBOMOA CHADEMA IGUNGA!!!

Aliyekuwa mjumbe wa Baraza la Vijana wa Chadema ngazi ya taifa Bw.Anuwar Kashaga akichana kadi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema katika mkutano wa hadhara wilayani Igunga baada ya kujiunga na Chama cha Mapinduzi hivi karibuni,Katika mkutano huo wa hadhara ambao mgeni rasmi alikuwa ni Naibu Katibu mkuu wa CCM Bw.Mwigulu Mchemba,...Kashaga licha ya kuzungumza maovu mengi yanayotendeka ndani ya Chadema alichana hadharani kadi aliyokuwa akiitumia wakati bado mwanachama wa Chadema hatua ambayo ilikuwa gumzo kwa wakazi wa Igunga ambao waliokuwa wakimfahamu Kashaga ambaye alikuwa kada mahili wa Chadema. 

No comments: