Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF), Emmanuel Matee
akielezea historia ya mfuko huo kwa wadau mbalimbali wa elimu katika
hafla ya kupokea vitabu kwa ajili ya shule za Msingi, Sekondari na Elimu
ya Juu vilivyotolewa na Books for Africa kutoka Marekani leo jijini Dar
es Salaam.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF), Mama Anna Mkapa akitoa neno la shukrani kwa wahisani wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu kwa ajili ya kusaidia shule 45 na vyuo 3 vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini Marekani leo jijini Dar es Salaam,kushoto ni Mwakilishi kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bibi.Paulina Mkonongo na katika ni mwakilishi wa Balozi wa Nigeria nchini Bibi. Abiola Delupe.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa akimkabidhi kitabu mwakilishi wa Shule ya Sekondari Overland, iliyopo Kisarawe ndg. Allison Sila wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu kwa ajili ya kusaidia shule 45 na Vyuo 3 vya Elimu ya Juu vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini Marekani na kusafirishwa kwa hisani ya Mfuko wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa akimkabidhi kitabu mwakilishi wa Shule ya Msingi Little Hood, Ignas Kamuntu wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu kwa ajili ya kusaidia shule 45 na Vyuo 3 vya Elimu ya Juu vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini Marekani na kusafirishwa kwa hisani ya Mfuko wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria n leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa akimkabidhi kitabu mwakilishi kutoka Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka Bagamoyo, Bibi. Victoria Kessy wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu kwa ajili ya kusaidia shule 45 na Vyuo 3vya Elimu ya Juu vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini Marekani na kusafirishwa kwa hisani ya Mfuko wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria leo jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi kutoka shule ya Sekondari Ujenzi iliyopo Mkuranga ndg. Karumuna Sigsmundi akitoa shukrani kwa Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa kwa niaba ya wawakilishi wa shule zote zilizo kabidhiwa Vitabu vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini Marekani na kusafirishwa kwa hisani ya Mfuko wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na wadau pamoja na wahisani wa Elimu wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu kwa ajili ya kusaidia shule 45 na Vyuo 3 vya Elimu ya Juu vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini Marekani na kusafirishwa kwa hisani ya Mfuko wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria leo jijini Dar es Salaam. Picha na MAELEZO

No comments:
Post a Comment