Baadhi ya maafisa kutoka Baraza la Habari Tanzania MCT,Bi.Pili Mtambalike,Bi.Alakok Mayombo na Bw.John Nguya walitembelea Ofisi ya Chama cha Waandishi wa habari Tabora ambapo waliambatana na wenyeji wao Mkurugenzi wa Chuo Cha Musoma Utalii Tabora Bw.Shaaban Mrutu na Mkufunzi wa chuo hicho Bw.Marwa Robert. |
No comments:
Post a Comment