NAIBU WAZIRI WA ELIMU JENISTA MHAGAMA AFUNGA MAFUNZO YA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA JIJINI DAR ES SALAAM
Naibu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh.
Jenista Mhagama akifunga rasmi mafunzo ya kikazi ya utekelezaji wa
Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM ya 2010 na masuala ya Itikadi kwa
viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa wakiwemo Wenyeviti,
Makatibu na Makatibu wenezi wa wilaya hiyo yaliyokuwa yakifanyika
jijini Dar es salaam kwenye hoteli ya JB. Belmont, yakindaliwa na Mbunge
Makini na Machachari wa jmbo la Ludewa Mh. Deo Filikunjombe, Viongozi
hao wa CCM wilaya ya Ludewa walianza na ziara ya kikazi iliyoanzia
Bungeni Mjini Dodoma, Chuo Kikuuu cha UDM na Makao makuu ya CCM mjini
humo ambapo walikutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip
Mangula na kuzungumza naye akiwapa nasaha nyingi kuhusu maadili ya
uongozi. (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria semina hiyo Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ludewa Ndugu Stanley Kolimba.Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayo Eliud Shemauya Katibu wa CCM wilaya ya Ludewa. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayoHonolatus Pilimini Mgaya Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Ludewa. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayo Rosemary Lwiva Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Njombe. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akikabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayoviongozi mbalimbali wa kata CCM wilaya ya Ludewa. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayoviongozi mbalimbali wa kata CCM wilaya ya Ludewa. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi
cheti Mbunge wa jimbo la Ludewa Mh. Deo Filikunjombe ambaye ndiye
aliyeandaa ziara hiyo na semina ya kimafunzo kwa viongozi mbalimbali
wa kata CCM wilaya ya Ludewa. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akipiga picha na viongozi mbalimbali wa kata CCM wilaya ya Ludewa. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akipiga picha na viongozi mbalimbali wa kata CCM wilaya ya Ludewa mara baada ya kufunga mafunzo hayo Naibu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh.
Jenista Mhagama akzungumza na Mh. Deo Filikunjombe Mbunge wa jimbo la
Ludewa mara baada ya kufunga semina hiyo.Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akipiga picha na viongozi mbalimbali wa kata CCM wilaya ya Ludewa. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akipiga picha na kamati ya maandalizi ya semina hiyo Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimsikiliza Mh. Deo Filikunjombe wakati alipokuwa akimueleza jambo mara baada ya kupiga picha. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akisalimiana
na Rosemary Lwiva Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Njombe mara baada ya zoezi
la kupiga picha kukamilika, katikati ni Mbunge wa jimbo la Ludewa Mh.
Deo Filikunjombe. Viongozi hao washiriki wa semina wakiiimba wimbo maalum wa uhamasishaji.Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akiwa ameongozana na Mbunge wa jimbo la Ludewa wakiwasili kwenye ukumbi tayari kwa ajili ya kufunga semina hiyo. Huyu
ni mmoja wa viongozi wa CCM kutoka wilaya ya Ludewa akiwa amembeba
mtoto wake mgongoni katika semina hiyo hakika mtoto huyu naye atakuja
kukitumikia chama siku moja.Mjumbe
wa Bunge maalum la Katiba Dr. Susan Kollimba ambaye pia anatokea wilaya
ya Ludewa naye alifika katika semina hiyo na kuwatakia mafunzo mema
viongozi hao wa wilaya ya Ludewa. Mbunge
wa jimbo la Ludewa akizungumza na viongozi hao wa Chama cha Mapinduzi
kutoka Wilaya ya Ludewa ambao aliwaandalia ziara ya kimafunzo ya kikazi
na kiitikadi ndani ya Chama kabla ya kufungwa kwa semina hiyo leo
No comments:
Post a Comment