![]() |
| Kaimu mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF Bw.Hamisi Mdee akielezea malengo ya mkutano huo wa wadau ambapo pamoja na mambo mengine alihimiza wadau kujitokeza kufungua maduka ya dawa muhimu vijijini ambayo yatasajiliwa NHIF na yatakuwa yakitoa huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Afya ya Jamii. |
![]() |
| Katibu tawala mkoa wa Tabora Bi.Kudra Mwinyimvua akizungumza katika mkutano huo |
![]() |
| Meneja wa NHIF kanda magharibi Bw.Emmanuel Adina akitoa maelezo mafupi kuhusu mfuko huo kwa kanda ya magharibi. |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() ![]() |
| Baadhi ya viongozi na wadau wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakati wa mkutano wa Wadau ambao unalengo la kujadili Changamoto mbalimbali zinazoukabili Mfuko huo.Picha na KAPIPIJhabari.COM |












No comments:
Post a Comment