| Sheikh mkuu wa Tanzania Mufti Shaaban Simba ameamuru Msikiti mkuu wa Ijumaa Gongoni Tabora ufunguliwe haraka iwezekanavyo wakati alipokuwa katika mkutano wa kutatua mgogoro wa waislamu wa mkoa wa Tabora,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Isike MwanaKiyungi ofisi ya mkuu wa mkoa wa Tabora. |
No comments:
Post a Comment