Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi akiwasilisha mada kwa wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari leo.

Mmoja wa wachambuzi wa sera wa TGNP Mtandao, Agnes Lukaya akiwasilisha matokeo ya tafiti mbalimbali za TGNP zilizofanywa kwa jamii.

Aliyekuwa Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Usu Mallya (kushoto) akiwasilisha mada yake kwa wahariri wa vyombo vya habari katika mkutano wa TGNP na wahariri hao
No comments:
Post a Comment