Pages

KAPIPI TV

Friday, May 9, 2014

KINANA,NAPE WAANZA ZIARA YA SIKU KUMI NA MOJA MKOANI TABORA

Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Bw.Abrahaman Kinana akivishwa Skafu ikiwa ni sehemu ya Mapokezi yake wilayani Igunga wakati akianza ziara ya kikazi mkoani Tabora.
Katibu Mkuu Kinana akisalimiana na baadhi ya viongozi akiwemo Katibu wa siasa na uenezi wilaya ya Tabora mjini Bw.Rashid Ramadhan  na Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Tabora mjini Bw.Emmanuel Mwakasaka.
Mbunge wa Jimbo la Nzega Dr.Hamisi Kigwangallah na mbunge wa vitimaalum mkoa wa Tabora Bi.Munde Tambwe walipata fursa ya kusalimiana na Katibu mkuu Bw.Abrahamani Kinana wakati wa mapokezi hayo wilayani Igunga.

Bw.Kinana akizungumza na baadhi ya wananchi wa Makomero waliojitokeza kumlaki wakati alipowasili wilayani Igunga tayari kwa kuanza ziara ya siku kumi na moja mkoani Tabora.


No comments: