Pages

KAPIPI TV

Tuesday, April 29, 2014

BASI LA HOOD LILIVYOUNGUA MOTO NA KUTEKETEA KABISA




Zaidi ya Abiria 55 waliokuwa ndani ya Basi la kampuni ya Hood, wakisafiri kutoka Mbeya kwenda Arusha walinusurika kufa baada ya Basi hilo kushika moto na kuteketea kabisa katika kijiji cha Kilolele-Chalinze Mkoani Pwani.Chanzo: http://bit.ly/1m4F9cG 

No comments: