Mwanafunzi wa darasa la pili katika moja ya Shule za msingi hapa Tabora mjini akiwauzia wenzake Mihogo ya kukaanga maarufu kama CHIPS DUME wakati walipotoka kwenye mapumziko saa nne asubuhi ambapo mtoto huyo ilielezwa kuwa yeye huondoka darasani kuja kufanya biashara hiyo akimsaidia mama yake mzazi ambaye kwa wakati huo alikuwa nyumbani akiendelea na majukumu mengine. |
No comments:
Post a Comment