Pages

KAPIPI TV

Sunday, March 2, 2014

KAMPENI KALENGA- CCM WAWAPIGIA MAGOTI WAPIGA KURA.

Naibu meya wa Halmashauri ya  Manispaa ya Iringa Gervas Ndaki akimwombea  kura  mgombea wa CCM Godfrey Mgimwa  katika  kijiji  cha Ilala  Simba  jimbo la Kalenga kwa kutumia  utamaduni  wa  wahehe wa kupiga magoti   kwa  mwombaji anayetaka  kupewa.

No comments: