Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa
akiagana naye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,
Dar es Salaam. Waziri huyo ameondoka jana usiku kurejea nchini kwao
baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini. (Picha na OMR).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa
akiagana naye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,
Dar es Salaam. Waziri huyo ameondoka jana usiku kurejea nchini kwao
baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini. Kushoto ni Waziri wa
Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa
akimsindikiza na kuagana naye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere, Dar es Salaam. Waziri huyo ameondoka jana usiku kurejea
nchini kwao baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa
akiondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es
Salaam, jana usiku kurejea nchini kwao baada ya kumaliza ziara yake ya
siku tatu nchini. (Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment