Meneja Miradi wa Soko la hisa la Dar-es-Salaam Bw.Magabe Maasa akizungumza na waandishi wa habari wa mkoa wa Tabora wakati wa ufafanuzi wa malengo ya Soko la hisa la Dar-es-salaam lilivyoamua kutembelea mikoa mbalimbali nchini kwa lengo kufanya Semina kwa wafanyabiashara kuhusu faida za uwekezaji kupitia ununuzi wa hisa kwenye mashirika na makampuni makubwa nchini. |
No comments:
Post a Comment