Baadhi ya Wataalamu wa kufichua watu wanaojihusisha na vitendo vya ushirikina na uchawi maarufu KAMCHAPE wamejikuta wakiwa kwenye mikono ya dola baada ya kuendesha zoezi la kufichua uchawi katika nyumba kadhaa kwenye vijiji mbalimbali vya manispaa ya Tabora ambapo baadhi ya wananchi walililalamikia zoezi hilo kwa madai kwamba limekuwa likiwadharirisha baadhi ya watu pamoja na kujenga chuki ambazo huenda zikasababisha madhara makubwa katika jamii. |
No comments:
Post a Comment