Mama akichota maji ya kunywa katika moja ya kisima ambacho kinategemewa na idadi kubwa ya wanakijiji cha Kabila,ambapo hutumia zaidi ya saa tisa kusubiri maji hayo yanayotiririka katika kisima hicho na kusababisha muda mwingi kutumika kutafuta maji badala ya shughuli nyingine za kiuchumi.Hata hivyo pia imeelezwa kuwa baadhi ya wanawake wamejikuta ndoa zao zikiwa matatani kutokana na adha hiyo ya kutafuta maji. |
No comments:
Post a Comment