Pages

KAPIPI TV

Thursday, August 15, 2013

"NIMEAJIRIWA,MSHAHARA SHILINGI ELFU 20 KWA MWEZI"

Kijana mmoja ambaye alinaswa na Kamera yetu eneo la Mahakama ya Hakimu mkazi  na Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Tabora,kijana huyu alidai kuwa biashara hiyo anafanya kwa kuajiriwa na jamaa mmoja ambaye ni mkazi wa mjini Tabora na hivyo hupokea kiasi cha shilingi elfu 20 kwa mwezi ambapo kazi hiyo huianza majira ya kuanzia saa 1:30 asubuhi hadi saa 2:00 usiku  na hakuna mapumziko ya Jumamosi hata Jumapili.

No comments: