Pages

KAPIPI TV

Saturday, August 31, 2013

MTOTO ASUBIRI KUKATWA MIKONO,AKOSA PESA ZA MATIBABU TABORA MJINI !!!

Mkono wa mtoto  Hamisi Rajabu(13)mkazi wa Isevya manispaa ya Tabora ambaye alipigwa shoti ya umeme kwenye Transfoma iliyoko Shule ya msingi Bomba mzinga wakati alipokuwa akicheza eneo jirani,Imeelezwa kuwa mtoto huyo ambaye kwasasa matibabu yake yamekuwa na utata hata kufikia hatua ya kukatwa mikono yote miwili.
Mtoto Hamisi akiwa wodi namba moja hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete akisubiri hatma yake juu ya kukatwa mikono yake yote miwili baada ya kujeruhiwa vibaya na umeme mkali katika Transfoma.


No comments: