Pages

KAPIPI TV

Thursday, August 29, 2013

MGOGORO WA MIPAKA YA VIJIJI VYA BWERU NA ITEBURA UNA MASLAHI YA KISIASA NA UBINAFSI WA VIONGOZI KIGOMA

Baadhi ya waathirika wa mgogoro wa mipaka ya vijiji vya Bweru na Itebura eneo la Nguruka mkoani Kigoma wakieleza kwa masikitiko mgogoro huo ambao unadaiwa upo katika ardhi oevu Ramsar na pembezoni mwa ziwa  na mto Sagara ambapo mgogoro huo kumekuwa na mvutano wa kisiasa kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi binafsi.
Maafisa kutoka Kituo cha Sheria na haki za binadamu nchini LHRC wametembelea kujionea hali halisi ya mgogoro huo ambao sasa umeathiri hata huduma za kijamii  katika kijiji cha Bweru ambapo mbali ya kuvunjwa kwa jumla ya kaya 68 katika oparesheni ya kuwahamisha wakazi wa kijiji hicho iliyofanywa na Halmashauri ya wilaya ya  Kigoma,Shule moja ya msingi ilichomwa moto na kusababisha jumla ya wanafunzi 120 kuachishwa masomo yao,Kutoka kulia ni Afisa wa dawati la ufuatiliaji wa ukiukwaji wa haki za binadamu LHRC Bw.Mkuta Masoli.

Kijiji cha Bweru ambacho kinadaiwa kuwa sehemu ya kijiji




No comments: