Pages

KAPIPI TV

Thursday, August 29, 2013

AINA TANO ZA DAGAA WA KIGOMA!!!

Aina za tano za Dagaa  wa  Kigoma  zazidi kuwaongezea kipato Wavuvi katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma.
Baadhi ya Wavuvi eneo la Mwaro wa Katonga mjini Kigoma wakionesha Samaki aina ya Mgebuka  akiwa tayari kwa mauzo.
Dagaa  wakiwa wameanika katika Uchanja  maeneo ya Katonga  mjini  Kigoma.
Dagaa aina  ya  Kauzurumba  wakiwa wametiwa chumvi tayari kwa kuuzwa.
Hizi ni aina tano za dagaa wa Kigoma.
1)Kauzu
2)Kauzurumba
3)Karumba
4)Rumbu
5)Kabangula 



No comments: