YALIYOJIRI TABORA NDIO KWETU LEO HII,"CCM TABORA MJINI WAANZA BALAA"
RAGE
AMSHITAKI MWAKASAKA MAKAO MAKUU CCM TAIFA!
Ndg wana TNK, habari nilizozipata muda si mrefu zinadai kuwa
Mbunge wa jimbo la Tabora Bwana Ismail Aden Rage
amemshitaki Ndg Mwakasaka makao makuu ya ccm Taifa kwa hoja kuwa
ameanza kampeni kabla ya muda wake, aidha bwana Mwakasaka ambaye pia
aliwahi kuwa mhasibu wa NCCR mageuzi mkoa wa Tabora kwa madai ya Bwana
Rage amekuwa akihonga vijana bia na soda kiasi vijana wengi wa Tabora
kuchanganyikiwa hasa siku za Dansi na Disco Orion, na katika hali ya
sintofahamu Rage amedai kuwa Mwakasaka amekuwa akitumia nguvu ya ziada
kulazimisha vijana wamuunge mkono hali iliyopelekea kugombana na Mc
Muhina(Diwani wa kitete) ambapo Rage anadai Mwakasaka alimfata Bwana
Muhina Chooni Orion na kumpiga Ngumi kwa tofauti za kisiasa nimejaribu
kumtafuta Bwana Daniel Muhina
juu ya sakata hilo amegoma kata kata kuongelea lolote na kusema yeye
kwa sasa ni mtendaji wa CCM asingependa kujiingiza huko na kudai kama
Rage anao ushahidi huo aulizwe yeye Rage na si Bwana Muhina.
No comments:
Post a Comment