Bibi kizee mmoja anayefahamika kwa jina la Binti Ally anayeishi eneo la mpakani Tambukareli amenusurika kuuawa na watu waliodai kuwa bibi huyo ni mchawi. Umati mkubwa ukiwa na dhana potofu juu ya kikongwe huyo ulijikuta unamuandama kiasi cha kushindwa kujua nini cha kufanya zaidi kusubiri atendewe kile walichokusudia watu hao ambao walionekana kuzomea na hata kumwagia mchanga bibi huyo. | | |
|
|
No comments:
Post a Comment