Mkazi wa Kihesa katika manispaa ya Iringa akiwa amebeba pombe
inayotengenezwa kwa nafaka aina ya Komoni ambayo kwa sasa upatikanaji
wake ni wa shida kutokana na wakulima wengi kuuza mahindi yao hivyo
upikaji wa pombe umekuwa wa tabu kweli mjini Iringa na wachuuzi wa pombe
hulazimika kutembea umbali wa zaidi ya Km 7 kwenda kusaka pombe nje
ya mji
|
No comments:
Post a Comment