Mkurugenzi
Mkuu wa Unesco Irina Bokova (mbele katikati)akiwasili Zanzibar kwa
ziara ya Siku mbili kwa ajili ya kutembelea sehemu za Mji mkongwe na
kukutana na Mawaziri wa Serikali ya Zanzibar, wa Wizara ya Elimu na
Mafunzo ya Amali, Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati, Habari Utamaduni Utalii
na Michezo pamoja na Waziri wa Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Wanawake na
Watoto,hapo Serena Hotel Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.
PICHA NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment