Pages
MWANZO
KAPIPI TV
Friday, December 21, 2012
MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHALIB BILAL,ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA ALIYEKUWA MBUNGE WA TABORA MJNI SIRAJU KABOYONGA
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Galib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Tabora mjini,Siraju Kaboyonga, aliyefariki dunia juzi na kuzikwa jana jijini Dar es Salaam. Makamu alifika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Sinza jijini Dar es Salaam jana.Katikati ni Balozi Mstaafu, Hashim Mbita na Mwenyekiti wa Chama cha Cuf, Prof.Ibrahim Lipumba.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Post
by
KAPIPIJhabari.COM
.
No comments:
Post a Comment