Baadhi ya wadau mbalimbali wamekuwa bado wakipingana vikali ukweli kuhusu chanzo cha mwanadamu.
Wapo baadhi yao wakiwemo wanasayansi wamekubaliana kuwa ukweli ni huo ingawa kati yao wanakosa uthibitisho wa jambo hili.
Lakini kwa vigezo mbalimbali hasa ukifuatilia masuala ya kihistoria wapo ambao wanakubaliana kutokana na hatua mbalimbali alizozipitia binadamu wa kwanza kugundulika hapa ulimwenguni.
Kwaupande wa viongozi wa madhehebu mablimbali ya kidini wanapingana na dhana hiyo hata kufikia wapo waliokwenda mbali zaidi na kufikia hatua ya kutoa matamko kwamba kuwa nyani ni dhambi au adhabu waliopatiwa baadhi ya wanadamu.
No comments:
Post a Comment