Wajumbe wa mkutano mkuu wa 16 wa Chama cha Wanawake Wataalamu wa Sekta za kilimo na mazingira TAWLAE wakiwa katika ukumbi wa Veta mjini Tabora.
Mwenyekiti wa Bodi ya Tawlae Dr.Maria Mashingo akizungumza katika mkutano wa 16 wa Chama hicho uliofanyika Veta mjini Tabora.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo wakisikiliza kwa makini taarifa ya utekelezaji ya Chama hicho iliyosomwa katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake Wataalamu wa sekta za kilimo na Mazingira TAWLAE,Bi.Sophia Mlote akisoma taarifa fupi ya utekelezaji katika mkutano huo wa 16 uliofanyika mkoani Tabora.
Dr.Philip Ntiba katibu tawala msaidizi mkoani Tabora akitoa hotuba katika mkutano huo kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Tabora.
Wanachama wa TAWLAE wakiwa nje ya ukumbi wa Veta wakati wa mapumziko katika mkutano huo.
Mgeni rasmi Dr.Philip Ntiba akikagua kazi za wajasiliamali wanawake wakati wa mkutano huo.

No comments:
Post a Comment