Baadhi ya watumishi wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Tabora Tuwasa wakiwa katika oparesheni ya kuwasaka watu ambao wizi wa maji kwa kujiunganishia huduma hiyo kienyeji.
Vitendo vya kujiunganishia huduma ya maji kienyeji ni moja ya njia ya kuikosesha mapato mamlaka ya Tuwasa,vitendo hivyo vimekuwa vikifanyika mara kwa mara hapa mjini Tabora.

No comments:
Post a Comment