Pages

KAPIPI TV

Monday, October 29, 2012

USAFIRI WA WANAFUNZI WANAOSOMA SHULE ZA GHARAMA TABORA MJINI!

Huu ndio usafiri wa wanafunzi wanaosoma katika shule za gharama mkoani Tabora!!!..hakuna shida ELIMU KWANZA...Katika pitapita yangu huko mtaani leo nikabahatika kukutana na basi hili ambalo mara nyingi linaonekana majira ya mapema asubuhi na saa kumi na moja jioni likiwa na wanafunzi licha ya kuwa huwa linaonekana likitembea upande upande hata kama kuna gari jingine linapishana nalo kunakuwepo mashaka kidogo.

No comments: