Mmoja kati ya waislamu wanaodaiwa kuandamana kufuatia tukio la kukamatwa kwa Sheikh Ponda akipelekwa katika kituo kikuu cha polisi
kati jijini Dar es salaam leo mchana mara baada ya kukamatwa.
Mmoja kati ya waislamu wanaodaiwa kuandamana akiwa
amekamatwa na askari polisi katika tukio la waislamu hao kushinikiza kuachiwa kwa kiongozi wao
Katibu wa Taasisi za Kiislamu Shekh Ponda Issa Ponda ambaye anashikiliwa na jeshi
la polisi kwa kudaiwa
kusababisha vurugu jijini Dar es salaam.
Polisi wakiwa tayari kwa kudhibiti maandamano hayo katika Kituo cha Reli ya kati karibu na Kituo kikuu cha polisi kati jijini Dar es salaam leo mchana.
No comments:
Post a Comment