WARATIBU WA CHF MTWARA NA LINDI WAPATA MAFUNZO KUBORESHA UTENDAJI KAZI ZAO
DR. PHARES KINUNDA AFISA UDHIBITI UBORA WA NHIF
AKIWASILISHA MADA YA MAJUKUMU YA WARATIBU WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA NA
MIFUKO YA AFYA YA JAMII MAFUNZO HAYO YAMEFANYIKA LEO KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO WA NHIF MJINI MTWARA.
WASHIRIKI WA MAFUNZO WAKIFUATILIA KWA MAKINI MTOA MADA
HAYUPO PICHANI DR. PHARES KINUNDA ,KUHUSU DHANA
YA MIFUKO YA AFYA YA JAMII NA MABORESHO HUDUMA ZA MATIBABU KWA WANANCHI KUPITIA FEDHA ZA TELE KWA TELE.
WARATIBU WA CHF MTWARA NA LINDI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA WAKATI WA SEMINA HIYO LEO
WARATIBU
WA CHF MTWARA NA LINDI WAKIMSIKILIZA KAIMU MENEJA
WA NHIF KANDA YA KUSINI DR. MOHAMED KILOLILE WAKATI AKIFUNGUA MKUTANO
WA KIKAZI NA WARATIBU HAO KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO WA MFUKO WA TAIFA WA
BIMA YA AFYA MTWARA.
No comments:
Post a Comment