ANTHONY MAYUNGA ANARIPOTI KUTOKA SERENGETI
14/ JUNI/2012
JESHI LA POLISI WILAYANI SERENGETI LIMEKUMBWA NA KASHIFA KUBWA BAADA
YA ASKARI WAKE WA KITUO KIDOGO CHA BORENGA KUMPIGA NA KUMUUMIZA MKAZI MMOJA WA KIJIJINI HAPO WAKIMFAFANISHA NA MTUHUMIWA WA MAUAJI YA ASKARI POLISI SIRARI.
AKIONGEA NA MWANDISHI WA HABARI HIZI AKIWA HOSPITALI TEULE YA NYERERE
DDH MAJERUHI HUYO CHACHA NYAKARALE[36)AMESEMA MEI 29 MAJIRA YA SAA
11:30 JIONI MWAKA HUU AKIWA KWAKE ALIVAMIWA NA ASKARI HAO NA KUFYATUA
RISASI JUU HUKU WAKIMWAMURU KULALA CHINI.
PAMOJA NA KUTII AMRI WALIANZA KUMSHAMBULIA KWA MATEKE ,MAGUMI NA
KUMLAZA KWENYE DIMBWI LA MAJI KISHA WAKAMFIKISHA KITUO KIDOGO CHA
POLISI NA KUAMBIWA ANATUHUMIWA KWA MAUAJI YA ASKARI POLISI SIRARI NA
KUJERUHI WENGINE.
HATIMAYE WALIMPELEKA KITUO CHA POLISI WILAYANI TARIME KWA UCHUNGUZI
MAJERUHI WALIMKANA NA KUACHIWA HURU BILA KUPATA MSAADA WA MATIBABU
LICHA KUTEMBELEA FIMBO..
UONGOZI WA POLISI WILAYANI HAPA ULIKIRI KUWEPO KWA MAKOSA AMBAYO
YALISABABISHA NA WATOA TAARIFA(INFORMA)NA KUAHIDI KUMSAIDIA KWA
MATIBABU NA HUDUMA ZINGINE.
HATA HIVYO MWANDISHI WA HABARI HIZI ALITHIBITISHIWA NA MAJERUHI HUYO
NA BAADHI YA WAGONJWA KUWA HAJAPATA HUDUMA KUTOKA POLISI KAMA
WALIVYOAHIDI,WAGANGA WAMESEMA WANAENDELEA KUMTIBU.
DIWANI WA KATA YA KISAKA BW.DONALD CHACHA ALISEMA TUKIO HILO LIMEIBUA
MTAFARUKU MKUBWA KWA JAMII WAKIDAI WATU WENGI WANAULIWA NA POLISI KWA KUTOKUWA MAKINI NA UPELELEZI NA WAMEONYESHA KUTOKUWA NA IMANI NA ASKARI HAO WAKITAKA WAHAMISHWE..

No comments:
Post a Comment