Pages

KAPIPI TV

Monday, May 7, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AMEWAAPISHA MAWAZIRI LEO JIJINI DAR-ES-SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar leo asubuhi  ili kuanza kazi ya kuwaapisha mawaziri wapya aliowateua hivi karibuni.
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue kabla ya kuanza kuapiswa kwa mawaziri na manaibu mawaziri hao.
 Dk. Harrison Mwakyembe akila kiapo kuwa waziri wa Uchukuzi mbele ya Rais Kikwete kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar-es-salaam.
  Mh.Shamsi Vuai Nahodha akila kiapo kuwa waziri wa Ulinzi mbele ya Rais Kikwete.
Dk Husein Mwinyi akila kiapo kuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii mbele ya Rais  Kikwete.
 Profesa Jumanne Maghembe akisaini  mara baada ya kuapo cha  kuwa waziri wa  maji na umwagiliaji nchini.
Mh. Hawa Ghasia akila kiapo mbele ya Rais Kikwete.
 Mh. Mathias Chikawe waziri wa Sheria na Katiba.
Mh. George Mkuchika akipongezwa na Rais Kikwete mara Baada ya kula kiapo.

No comments: