Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikweete
akifungua Semina maalumu kwa viongozi wa ngazi za juu wa CCM katika ukumbi wa
White House mjini Dodoma leo asubuhi.Wengine katika picha kutoka kushoto ni
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Rais Mstaafu wa Zanzibar amabye pia ni
makamu wa CCM Zanzibar Amani Abeid Karume,Katibu Mkuu wa CCM Bwana Wilson Mkama
na Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Pius Msekwa
(Picha na Freddy Maro)
Baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa CCM
wakihudhuria semina maalumu katika ukumbi wa White House mjini Dodoma
leo.Semina hiyo inaongozwa na mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
(Picha na Freddy Maro)
Baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa CCM
wakihudhuria semina maalumu katika ukumbi wa White House mjini Dodoma
leo.Semina hiyo inaongozwa na mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
Picha na Frddy Maro
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiteta na Katibu Mkuu wa
CCM, Wilson Mukama kabla ya kufngua semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu
ya Taifa ya CCM mjini Dodoma may 12, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Washiriki wa Semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya
CCM, Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye (kuahoto), Kingunge Ngombale
-Mwiru (katikati) na Peter Kisumo wakiteta katika semina ya wajumbe wa
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma May 12,2012.(Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)


No comments:
Post a Comment